12. Jinsi gani mtu anaweza kutoa taarifa za udanganyifu kwa FCS?

Ilitumwa Februari 5, 2020

FCS inapokea taarifa za udanganyifu kuhusu Wafadhiliwa wake kupitia baruapepe:

whistleblower@thefoundation-tz.org