TAARIFA KWA UMMA-NACONGO

Mwenyekiti wa Kamati ya mpito ya kusimamia uchanguzi wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali(NACONGO) Bi. Flaviana Charles (Wakili), alitangaza kuanza kwa mchakato wa Uchaguzi wa Wajumbe wa Baraza, ukihusisha zoezi la kuchukua na kurudisha fomu za kugombeauongozi wa Baraza, uchakataji wa fomu za maombi na upigaji kura katika ngazi ya
Wilaya, Mkoa, Makundi Maalum, Mashirika ya Kimataifa na pia katika ngazi ya Taifa.


Hatua hii ilienda sambamba na kutoka ratiba ya uchaguzi ambayo ndani yake iliainisha mambo ya msingi ya kuzingatia kwa mgombea na mpiga kura kwa mujibu kwa kanuni zauchaguzi wa Baraza la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) ya mwaka 2016. Kwa taarifa kamili bofya hapa

Related News