TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7 Juni 2021, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima aliunda Kamati ya mpito ya watu 10, ambao ni viongozi kutoka Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ya kitaifa na kimataifa kwa dhumuni la kusimamia uchaguzi wa viongozi wa Baraza jipya (NaCoNGO) kwa mujibu wakanuni na taratibu za uchaguzi wa baraza hilo.
Kamati inapenda kutoa taarifa hii kwa umma na Mashirika yote yasiyo ya
kiserikali(NGOs) ratiba ya uchaguzi na taratibu muhimu za kuzingatiwa ili kufanikisha uchaguzi huo. Bofya hapa Kwa taarifa kamili

Related News