FCS yazindua mradi wa “Uraia Wetu” ili kukuza ushiriki wa asasi za kiraia kwenye utawala wa kidemokrasia nchini Tanzania

*FCS inatoa ruzuku ya zaidi ya Tsh 4,916,402,000 kwa AZAKi za kijamii na kuwezesha ushiriki wa
wananchi kwenye uandaaji wa katiba mpya na kujenga mshikamano wa kitaifa.
Dar es Salaam, Mei 9, 2023. Foundation for Civil Society (FCS) imezindua mradi wa “Uraia Wetu” ili
kulkuza uwezo wa AZAKi na wananchi kushiriki kikamilifu kwenye michakato ya utawala wa
kidemokrasia, ikiwa ni pamoja na mapitio ya katiba na michakato ya maridhiano ya kitaifa.
Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa mradi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Bw.
Francis Kiwanga, alisema mradi wa “Uraia Wetu” utachangia kuboresha na kuwezesha mfumo wa sera
na mazingira ya ushirikishwaji wa wananchi ili kukuza utawala wa kidemokrasia nchini Tanzania.

Soma zaidi

Related News