Dira Thima Nguzo

Dira

Tanzania ambayo wananchi wake wamewezeshwa kutambua haki zao za kijamii na kushiriki katika michakato ya mabadiliko ambayo yanaboresha hali zao za maisha.

Dhamira

Kuchangia maendeleo endelevu nchini Tanzania kupitia uimarishaji wa Asasi za Kiraia, ushawishi wa sera na kukuza utamaduni wa kujifunza.

Maadili ya msingi

Misingi inayotuongoza FCS ni pamoja na: Ujumuishaji, Uadilifu, Kujifunza, Ubora, Uwajibikaji na Usawa wa kijinsia

Related News