Date Published : Aprili 21st, 2019
FCS Yazindua Kampeni ya kusaidia Watoa Huduma wa Afya
Foundation for Civil Society (FCS) imezindua Kampeni ya ‘Jumanne ya Utoaji’ kuwasaidia na kuwalinda watoa huduma wa afya nchini Tanzania. Lengo la Kampeni ya mwaka huu ni kukusanya vifaa vya kujikinga (PPE) na maambukizi ya corona (COVID-19) kwa ajili ya watoa huduma hao kama hatua ya dharura ya kuitikia mahitaji yaliyosababishwa na mlipuko wa homa hiyo ya mapafu. Kampeni hii inawaalika wadau na umma kwa ujumla kuchangia pesa au vifaa vya kujikinga na maambukizi ya Corona ( Barakoa, Sabuni, Vitakasa mikono, Mavazi maalum ya watoa huduma, miwani ya upasuaji) kwa…