Kuwezesha ushirikiano wa wadau kwa ajili ya kuleta Maendeleo

Tangu mwaka 2002, FCS imewawezesha wananchi wa Tanzania kushiriki kikamilifu kwenye michakato ya utawala wa nchi, na hivyo kuchangia uwezo wao katika kuamua maendeleo yao wenyewe.

Sisi ni nani


Foundation for Civil Society (FCS) ni shirika huru la Watanzania lisilo lenga kupata faida ambalo hutoa ruzuku na huduma za kujenga uwezo kwa Asasi za Kiraia (AZAKI) ili kuongeza ufanisi wao katika kuwezesha ushiriki wa wananchi kwenye michakato ya maendeleo. Shirika hili lilianzishwa na wadau wa maendeleo nchini Tanzania. FCS ilianzishwa na kusajiliwa mwezi Septemba 2002 na kuanza kufanyakazi rasmi mwezi Januari 2003. Safari ya Foundation for Civil Society ilihusisha wadau wengi wa maendeleo ikiwemo Serikali na washirika wa maendeleo (DPs) ambao walikubaliana kuwa kuna upungufu wa rasilimali za umma za kusaidia Asasi za kiraia, na hivyo waliamua kutafuta njia…

Matangazo ya Mwezi


16 th Mei , 2022

MWALIKO WA KUSHIRIKI WARSHA YA UPASHANAJI HABARI (INFO SESSION) ZA SHUGHULI ZA FCS KATIKA KUTEKELEZA MPANGO MKAKATI 2022 – 2026

Foundation for Civil Society ni taasisi isiyo ya kiserikali iliyosajiliwa mwaka 2002 na kuanza utekelezaji…

15 th Julai , 2021

WITO WA MAOMBI YA RUZUKU MAALUM KWA MASHIRIKA, JUMUIYA NA ASASI ZA KIRAIA – ZANZIBAR

UTANGULIZIFoundation for Civil Society (FCS) ni shirika huru la kimaendeleo, la Kitanzania lisilolenga kupata faida,…

16 th Juni , 2021

TAARIFA KWA UMMA

Tarehe 7 Juni 2021, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe….

Habari za Foundation

Moyo wa kujitolea wasaidia AZAKI za Tanzania

Asasi za kiraia (AZAKI) nchini Tanzania zinatumia mikakati mingi sana kufikia jamii nyingi kwa miradi…


Soma Zaidi

Jinsi mradi ulivyofanikiwa kuleta amani

Kwa ufadhili wa shirika la Foundation for Civil Society (FCS) shirika la Tanzania Initiative for…


Soma Zaidi

Tuna furaha tena!

Utangulizi Kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society (FCS) , taasisi ya Caritas Tabora ilitekeleza…


Soma Zaidi

Podcast

MAFUNZO YA WAFADHILIWA WA FOUNDATION MWAKA 2018 – FCS GRANTEES MYG TRAINING 2018

MAFUNZO YA WAFADHILIWA WA FOUNDATION MWAKA 2018 – FCS GRANTEES MYG TRAINING 2018

Taswira za mafanikio

Wanakijiji waamua kusimamia maendeleo yao wilayani Kilolo


Kilimbwa ni kijiji cha ndanindani sana kwenye Kata ya Ibumu wilayani Kilolo mkoa wa Iringa. Ni kijiji kidogo na kipya cha umri wa miaka 10 hivi, lakini kinachokua kwa kasi sana. Wakazi wake wanaongezeka pia. Wanakijiji wa Kilimbwa wameshaomba sana shule kwa ajili ya watoto wao. Watoto wao wanakwenda mwendo mrefu kuhudhuria shule katika vijiji vya jirani. Siku moja, baada ya kuomba na kutoa taarifa sana waliamua kujenga wenyewe shule kwa ajili ya watoto wao; kwa mikono yao na rasilimali…

Wadau wa FCS