Foundation for Civil Society (FCS) ni shirika huru la Watanzania lisilo lenga kupata faida ambalo hutoa ruzuku na huduma za kujenga uwezo kwa Asasi za Kiraia (AZAKI) ili kuongeza ufanisi wao katika kuwezesha ushiriki wa wananchi kwenye michakato ya maendeleo. Shirika hili lilianzishwa na wadau wa maendeleo nchini Tanzania. FCS ilianzishwa na kusajiliwa mwezi Septemba 2002 na kuanza kufanyakazi rasmi mwezi Januari 2003. Safari ya Foundation for Civil Society ilihusisha wadau wengi wa maendeleo ikiwemo Serikali na washirika wa maendeleo (DPs) ambao walikubaliana kuwa kuna upungufu wa rasilimali za umma za kusaidia Asasi za kiraia, na hivyo waliamua kutafuta njia…
*FCS inatoa ruzuku ya zaidi ya Tsh 4,916,402,000 kwa AZAKi za kijamii na kuwezesha ushiriki…
Orodha ya Mashiriki yaliyochaguliwa kupokea ruzuku za FCS 2022-2024
Shirika la Foundation for civil society katika mpango mkakati wake wa 2022-2026 limetoa mwongozo wa…
Asasi za kiraia (AZAKI) nchini Tanzania zinatumia mikakati mingi sana kufikia jamii nyingi kwa miradi…
Kwa ufadhili wa shirika la Foundation for Civil Society (FCS) shirika la Tanzania Initiative for…
Utangulizi Kwa ufadhili wa Foundation for Civil Society (FCS) , taasisi ya Caritas Tabora ilitekeleza…
This theme places greater emphasis on partnership. It proposes that, for Tanzania to achieve its development vision and attain a level of growth envisioned in the sustainable development goals, important pillars in delivering this growth must get better at working with each other.
MAFUNZO YA WAFADHILIWA WA FOUNDATION MWAKA 2018 – FCS GRANTEES MYG TRAINING 2018