WANACHAMA

Wanachama wa  FCS ndio wenye mamlaka ya juu katika masuala yote ya kitaasisi na hufanya shughuli zao kupitia Mkutano Mkuu wa FCS au vikao vya dharura. Wanachama wa sasa wa FCS ni: 1) Dk. Stigmata Tenga ( Rais), 2) Alais Morindat,  3) Profesa Samuel Wangwe, 4) Bwana Rakesh Rajani, 5) Bi Mary Rusimbi, 5) Bwana Salum Shamte na Bi Olive Luena.

Dr. Stigmata Tenga
Rais
Alais Morindat
Mary Rusimbi
Prof. Samuel Wangwe
Rakesh Rajani
Salum Shamte
Olive Luena