Habari za machapisho

Katika kukabiliana na mila na desturi hatarishi, FCS imejikita zaidi katika kupamba na Ukatili wa Kijinsia, Ukeketaji, watoto kuolewa katika umri mdogo na aina nyingine za ukatili na unyanyasaji.

Tanzania, kama zilivyo nchi nyingine za kiafrika watu wenye ulemavu (WWU) ni miongoni mwa watu wanaobaguliwa na kuishi katika mazingira magumu katika jamii zao.

FCS inawasaidia wanawake kupata haki ya kumiliki ardhi, Mkakati huu una lengo la kutoa changamoto ya kisera sera na sheria ili ziweze kutoa matokeo yatakayowanufaisha watu maskini na wanaobaguliwa hasa wanawake.

Msukumo mkubwa wa FCS katika mkkakati huu ni uhakikisha kuwa serikali za mitaa zinatoa huduma bora kwa wananchi.

Vijana wanaunda kundi kubwa la nguvu kazi na lenye msukumo mkubwa katika maendeleo ya nchi hii. Hata hivyo, kundi hili linakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa ajira na kukosa elimu na huduma muhimu za afya

Madhumuni ya Mkakati huu wa Kuimarisha Amani na Usimamizi wa Migogoro ni katika juhudi za kutafuta amani kwa kujenga mahusiano mazuri ndani ya makundi mbalimbali ya watu nchini Tanzania.

Telephone:

+255 22 - 2664890

+255 22 - 2664891

+255 22 - 2664892

Fax:

+255 22 - 2664893

Email:

information@thefoundation-tz.org

Address:

Madai Crescent 7 Ada Estate
P.O. Box 7192
Dar es Salaam Tanzania