MENEJIMENTI

Majukumu ya utendaji kazi wa FCS yamo mikononi mwa Sekretarieti inayojumuisha Menejimenti na Wafanyakazi wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji, Bwana Francis Kiwanga. Mkurugenzi Mtendaji anawajibika kwa Bodi ya Wakurugenzi kwa masuala ya utawala na pia yeye ni Katibu wa Bodi hiyo. Mkurugenzi Mtendaji ana jukumu la kuweka na kusimamia ushirikiano kati ya FCS na wadau wa maendeleo katika masuala yote yanayohusu fedha. Bodi ndio huamua kuhusu idadi ya wafanyakazi pamoja na muundo wa FCS kama taasisi katika kutekeleza majukumu na shughuli zake.

Francis Kiwanga
Executive Director
Martha Olotu
Business Development and Partnerships
Edna Chilimo
Capacity Development
Guesturd Haule
Monitoring, Evaluation, Research and Learning
Francis Uhadi
Programmes
Ayubu Masaki
Finance and Operations