DHIMA

 

Kuwawezesha wananchi kupitia utoaji wa ruzuku kwa asasi za kiraia, kuwezesha kuundwa kwa mitandao ya asasi za kiraia na kuwezesha utamaduni wa kujifunza pasipo ukomo katika Sekta ya Asasi za Kiraia.