Wasaidizi wa kisheria wanavyopunguza migogoro ya ardhi Morogoro

Ingawaje watu wengi wanamiliki ardhi kwa ajili ya shughuli za kimaendeleo, lakini sio wengi wanaozifahamu sharia zinazofungamana na umuliki huo wa ardhi. Hali hii imesababisha migogoro mingi ambayo ambayo ina changamoto zake katika kuitatua. Mkoani Morogoro, asasi isiyo ya kiserikali ya Kituo cha Wasaidizi wa Sheria kwa kufadhiliwa na Taasisi ya FCS inatekeleza mradi unaojishughulisha

Ubalozi wa Ufaransa wawezesha asasi za kiraia katika mikoa 3

Taasisi ya FCS iliingia makubaliano na Ubalozi wa Ufaransa nchini Tanzania Januari 29 mwaka huu kwa ajili ya kuwezesha shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na asasi za kiraia katika mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma na Mara.   Msaada huo wa ruzuku ndogo ndogo umelenga miradi ya ubunifu ya asasi za kiraia na mitandao yao, kupitia

Ushirikiano na umoja unaibadilisha jamii

FCS kwa kushirikiana na taasisi ya Huduma za Kisheria ya Legal Services Facility (LSF) zilifanya mafunzo jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili, 2018 ikiwa ni muendelezo wa mkutano wa kwanza uliofana mwaka 2017. Mkutano wa mwaka huu uliolenga katika kubadilishana uzoefu, uliwaleta pamoja wataalam kutoka taasisi za FCS na LSF.   Mambo waliyojifunza wataalam