Salamu za pongezi za dhati kwa Bw. Salum Shamte


31stAug


Foundation For Civil Society inatoa pongezi za dhati kwa Bw. Salum Shamte, ambaye anahudumu kwenye Baraza lake la wanachama kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation (TPSF). tunamtakia kila la kheri katika kutimiza majukumu yake.