Jukwaa la Siasa

Last post
webmaster

webmaster
3 posts
---
Location:
n.a.
19.10.2013 13:30

NINI MTIZAMO WAKO KUHUSU BIASHARA NA SIASA?

"Miezi kadhaa iliyopita Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekti wa CCM taifa, Jakaya Mrisho Kikwete alionekana kukerwa sana na ongezeko la mwenendo wa wafanya biashara kujiingiza katika siasa! kero hii hakuwa yake tu, na pengine niseme kuwa ilitokana na kilio na kelele za watanzania wengi kuhoji uhalali wa wafanya biashara kujikita kwa nguvu katika siasa na hasa za uwakilishi wa vyama katika mihimili ya dola. Ilidaiwa kuwa wafanya biashara wanapojiingiza katika siasa na hasa nafasi zinazofanya maamuzi ya nchi ni hatari kwa uongozi bora na uwajibikaji. Mheshimiwa Raisi aliliona hili na akaonya kuwa likiachwa kuendelea litadhoofisha demokrasia na kujenga makundi ya watu wenye nacho na wasio nacho". JAPHET MAKONGO 

Contact us

THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY

  • Tel: +255 22 - 2664890-2
  • Fax: +255 22 - 2664893

Connect with us

We're on Social Networks. Follow us & get in touch.