Hello world!

Welcome to WordPress. This is your first post. Edit or delete it, then start blogging!

NAIBU WAZIRI POSI AZINDUA TAMASHA LA TANO LA WATU WENYE ULEMAVU JIJINI DAR

Naibu Waziri (OWM) anayeshughulikia sera, Bunge, Kazi Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Dk. Abadallah Posi leo amezindua tamasha la tano ya watu wenye ulemavu nchini, Tamasha lililoandaliwa kwa udhamini wa Shirika lisilo la kiserikali la The Foundation of Civil Society, lililofanyika katika hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam.   Dk. Posi amebainisha

FCS WASHEHEREKEA JUMANNE YA KUTOA KWA MAFANIKIO

Shirika lisilo la kiserikali la Foundation for Civil Society, leo limeadhimisha siku ya Jumanne ya Kutoa maarufu kama ‘Giving Tuesday’ kwa kutoa misaada mbalimbali katika shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko iliyoko jijini Dar es Salaam.   Shughuli hii inaadhimishwa kila Jumanne ya mwisho ya mwezi Novemba duniani kote na kwa hapa Tanzania, hii ni mara

FCS WAENDESHA MAFUNZO YA UJASILIAMALI KWA VIJANA DAR ES SALAAM

Shirika la ‘Foundation for Civil Society’ (FCS) limeendesha mafunzo ya siku tatu ya Biashara, Fursa, Taratibu na Sheria za kufanya Biashara kwa Vijana ndani ya soko la Jumuiya ya Afrika Mashariki. Mafunzo hayo yamezinduliwa leo Jumatatu Novemba 21, 2016 katika hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam.   Vijana hawa wanapewa mbinu za ujasiliamali

PARTNERSHIPS AND COALITIONS TRANSFORM CIVIL SOCIETY WORK

Foundation for Civil Society (FCS) and the Legal Services Facility (LSF) held their second learning session in Dar es Salaam on 25th April, following a successful first meeting last year that brought together teams from both sides. The learning sessions are meant to link up the two organisations through experience and knowledge sharing and discussions

FRENCH EMBASSY AND FOUNDATION SUPPORT CSOS IN 3 REGIONS

Initiative shot in the arm to women empowerment and fight against harmful practices   January 29, 2018. Dar es Salaam. The Foundation for Civil Society (FCS) has entered into agreement with the French Embassy in Tanzania to support development initiatives implemented by civil society organisations (CSOs) in Dar es Salaam, Dodoma and Mara regions.  

MINIMIZING LAND CONFLICTS: THE WORK OF MOROGORO PARALEGAL

Many people own land due to its necessity in most social and economic activities, but not all of them know the laws governing land ownership. This has caused many land conflicts that can be challenging to solve. In Morogoro, a CSO called Morogoro Paralegal Center, funded by Foundation for Civil Society, implemented a project to

FCS YATOA RUZUKU MPYA KIASI CHA SH. BILION 5.8 KWA AZAKI

The Foundation for Civil Society (FCS) ndani ya Mpango Mkakati wake mpya wa mwaka 2016-2020 imetoa ruzuku kwa Asasi za Kiraia (AZAKi) 120 zinazofanya kazi sehemu mbalimbali nchini huku msukumo ukiwa katika eneo la Utawala Bora na Uwajibikaji. Ruzuku hizi mpya zinazofikia jumla ya Sh. bilioni 5.8 na zinalenga kusaidia utekelezaji wa miradi kwa kipindi

FCS YASAINI MKATABA MWINGINE MPYA WA MAENDELEO NA NORAD

Foundation for Civil Society (FCS) imesaini mkataba mwingine mpya wa maendeleo kutoka Norwegian Agency for Development Cooperation (NORAD) unaofikia kiasi cha Kroner za Norway milioni 10, sawa na Dola milioni 1.2 kwa kipindi cha miaka miwili hadi 2018.   Msaada huu ni nyongeza katika mfuko wa pamoja wa Wadau wa Maendeleo kupitia FCS wenye lengo